Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Stars: Created by God

7 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu Created by God

  1. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.

  2. Aliisafisha anga kwa pumzi yake; kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio.

  3. Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha,

  4. Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake.

  5. Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele.

  6. Mwezi na nyota vitawale usiku, Fadhili zake zadumu milele.

  7. (yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko na mchana kuwa usiku, ambaye huyaita maji ya bahari na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: Bwana ndilo jina lake;