Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Spoils: Of war

5 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Of war

  1. Wale wafalme wanne wakateka mali yote ya Sodoma na Gomora pamoja na vyakula vyao vyote, kisha wakaenda zao.

  2. Pia walimteka Loti mwana wa ndugu yake Abramu pamoja na mali zake, kwa kuwa alikuwa akiishi Sodoma.

  3. Waisraeli waliwateka wanawake wa Kimidiani pamoja na watoto wao na walichukua makundi ya ngʼombe, kondoo na mali zao kama nyara.

  4. Walichoma moto miji yote ambayo Wamidiani walikuwa wanaishi, pamoja na kambi zao zote.

  5. Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe.