Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Spitting: Jesus used spittle in healing

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Jesus used spittle in healing

  1. Baadaye Yesu akampeleka yule kiziwi kando mbali na watu, Yesu akatia vidole vyake masikioni mwa yule mtu. Kisha akatema mate na kuugusa ulimi wa yule mtu.

  2. Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, “Unaona chochote?”