Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Spiritual Peace: Wish, to each other

4 mistari · 53 vipengele

Mistari kuhusu Wish, to each other

  1. Amani na rehema viwe na wote wanaofuata kanuni hii, na juu ya Israeli wa Mungu.

  2. Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.

  3. Kwa ndugu watakatifu na waaminifu katika Kristo, waishio Kolosai: Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu ziwe nanyi.

  4. Paulo, Silvano na Timotheo: Kwa kanisa la Wathesalonike, ninyi mlio ndani ya Mungu Baba yetu na ndani ya Bwana Yesu Kristo: Neema iwe kwenu na amani.