Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sorrow: God takes notice of Hagar's

4 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu God takes notice of Hagar's

  1. Mungu akamsikia kijana akilia, malaika wa Mungu akamwita Hagari kutoka mbinguni na kumwambia, “Kuna nini Hagari? Usiogope, Mungu amesikia kijana analia akiwa amelala pale.

  2. Mwinue kijana na umshike mkono, kwa maana nitamfanya kuwa taifa kubwa.”

  3. Ndipo Mungu akamfumbua Hagari macho yake naye akaona kisima cha maji. Hivyo akaenda akajaza kiriba maji na kumpa kijana anywe.

  4. Mungu akawa pamoja na huyu kijana alipokuwa akiendelea kukua. Aliishi jangwani na akawa mpiga upinde.