Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sin Offering: Was killed in the same place as the burnt-offering

2 mistari · 25 vipengele

Mistari kuhusu Was killed in the same place as the burnt-offering

  1. Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha yule mbuzi na kumchinja mahali pale ambapo sadaka za kuteketezwa huchinjiwa mbele za Bwana. Hii ni sadaka ya dhambi.

  2. “Mwambie Aroni na wanawe: ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya dhambi: Sadaka ya dhambi itachinjiwa mbele za Bwana mahali sadaka ya kuteketezwa huchinjiwa, ni takatifu sana.