Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sin Offering: At the consecration of priests

3 mistari · 25 vipengele

Mistari kuhusu At the consecration of priests

  1. “Mlete yule fahali mbele ya Hema la Kukutania, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.

  2. Lakini nyama ya huyo fahali na ngozi yake na matumbo yake utavichoma nje ya kambi. Hii ni sadaka ya dhambi.

  3. Kisha akamtoa fahali kwa ajili ya sadaka ya dhambi, nao Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa chake.