Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shoe: Taken off on holy ground

3 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Taken off on holy ground

  1. Mungu akamwambia, “Usikaribie zaidi. Vua viatu vyako, kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.”

  2. Jemadari wa jeshi la Bwana akajibu, “Vua viatu vyako, kwa maana mahali hapa unaposimama ni patakatifu.” Naye Yoshua akafanya hivyo.

  3. “Ndipo Bwana akamwambia, ‘Vua viatu vyako kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.