Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ship: Warships used by Chittim

2 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Warships used by Chittim

  1. Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, zitaitiisha Ashuru na Eberi, lakini nao pia wataangamizwa.”

  2. Meli za nchi ya Kitimu zitampinga, naye atavunjika moyo. Ndipo atarudi nyuma na kutoa wazi hasira yake dhidi ya agano takatifu. Atarudi na kuonyesha fadhili kwa wale waliachao agano takatifu.