Assos
39.4800, 26.3300 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Assos
Tukatangulia melini tukasafiri mpaka Aso ambako tungempakia Paulo. Alikuwa amepanga hivyo kwa maana alitaka kufika kwa miguu.
Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini, tukasafiri wote mpaka Mitilene.