Mistari ya Biblia kuhusu Self-Will and Stubbornness: Hardening the heart
Mistari kuhusu Hardening the heart
Pia alimwasi Mfalme Nebukadneza, ambaye alikuwa amemwapisha kwa jina la Mungu. Akashupaza shingo na akafanya moyo wake kuwa mgumu wala hakutaka kumgeukia Bwana, Mungu wa Israeli.