Mistari ya Biblia kuhusu Self-Will and Stubbornness: Refusing to hearken to parents
Mistari kuhusu Refusing to hearken to parents
Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
baba yake na mama yake watamleta kwa wazee kwenye lango la mji wake.