Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Rephidim

5 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Jumuiya yote ya Israeli ikaondoka kutoka Jangwa la Sini, ikisafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine kama Bwana alivyoagiza. Wakapiga kambi huko Refidimu, lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa.

  2. Waamaleki wakaja na kuwashambulia Waisraeli huko Refidimu.

  3. Baada ya kuondoka Refidimu, waliingia katika Jangwa la Sinai na Israeli wakapiga kambi pale jangwani mbele ya mlima.

  4. Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa.

  5. Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai.