Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Presumption: Sons of Sceva

2 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Sons of Sceva

  1. Basi baadhi ya Wayahudi wenye kutangatanga huku na huko wakitoa pepo wachafu wakajaribu kutumia jina la Bwana Yesu wale wenye pepo wakisema, “Kwa jina la Yesu, yule anayehubiriwa na Paulo, nakuamuru utoke.”

  2. Wana saba wa Skewa, Myahudi aliyekuwa kiongozi wa makuhani, walikuwa wanafanya hivyo.