Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Personal Call: Illustrated

9 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Illustrated

  1. kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema:

  2. “Ni ninyi wanaume, ninaowaita; ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote.

  3. hivyo inawapasa kuwatii na kufanya kila kitu wanachowaambia. Lakini msifuate yale wanayotenda, kwa sababu hawatendi yale wanayohubiri.

  4. Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.

  5. “Wao hutenda mambo yao yote ili waonekane na watu. Hupanua vikasha vyao vyenye maandiko ya sheria na kurefusha matamvua ya mavazi yao.

  6. Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi.

  7. Hupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’

  8. “Lakini ninyi msiitwe ‘Rabi,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu.

  9. Nanyi msimwite mtu yeyote ‘Baba,’ hapa duniani, kwa maana mnaye Baba mmoja, naye yuko mbinguni.