Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Perfection: The Church shall attain to

2 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu The Church shall attain to

  1. Mimi ndani yako na wewe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja na ulimwengu upate kujua ya kuwa umenituma, nami nimewapenda wao kama unavyonipenda mimi.

  2. mpaka sote tutakapoufikia umoja katika imani na katika kumjua sana Mwana wa Mungu na kuwa watu wazima kwa kufikia kimo cha ukamilifu wa Kristo.