Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Perfection: Saints follow after

2 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu Saints follow after

  1. Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu.

  2. Si kwamba nimekwisha kufikia, au kwamba nimekwisha kuwa mkamilifu, la hasha! Bali nakaza mwendo ili nipate kile ambacho kwa ajili yake, nimeshikwa na Kristo Yesu.