Skip to content

Epaphras

3 mistari

Mistari inayomtaja Epaphras

  1. Mlijifunza habari zake kutoka kwa Epafra, mtumishi mwenzetu mpendwa, yeye aliye mhudumu mwaminifu wa Kristo kwa ajili yenu,

  2. Epafra, ambaye ni mmoja wenu na mtumishi wa Kristo Yesu, anawasalimu. Yeye siku zote anawaombea kwa bidii kwamba msimame imara katika mapenzi yote ya Mungu, mkiwa wakamilifu na thabiti.

  3. Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu.