Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ostriches: Also translated »owl« in KJV

6 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Also translated »owl« in KJV

  1. mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga,

  2. mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga wa aina yoyote,

  3. Nimekuwa ndugu wa mbweha, rafiki wa mabundi.

  4. Wanyama wa mwituni wataniheshimu, mbweha na bundi, kwa sababu ninawapatia maji jangwani, na vijito katika nchi kame, ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua,

  5. “Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo, nao bundi watakaa humo. Kamwe haitakaliwa tena wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi.

  6. Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza; nitatembea bila viatu na tena uchi. Nitabweka kama mbweha na kuomboleza kama bundi.