Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Offence: Denunciation against those who cause

2 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Denunciation against those who cause

  1. “Ole kwa ulimwengu kwa sababu ya yale mambo yanayosababisha watu kutenda dhambi! Mambo hayo lazima yawepo, lakini ole wake mtu yule ambaye huyasababisha.

  2. “Kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa wadogo hawa wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa baharini.