Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Offence: Be cautious of giving

4 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Be cautious of giving

  1. Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.

  2. Kwa hiyo tusiendelee kuhukumiana: Badala yake mtu asiweke kamwe kikwazo au kizuizi katika njia ya ndugu mwingine.

  3. Lakini angalieni jinsi mnavyotumia uhuru wenu usije ukawa kikwazo kwao walio dhaifu.

  4. Hatuweki kitu cha kukwaza katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama.