Mistari ya Biblia kuhusu Offence: Reprove those who cause
Mistari kuhusu Reprove those who cause
Mose akamwambia Aroni, “Watu hawa walikufanyia nini, hata ukawaongoza kufanya dhambi kubwa hivyo?”
Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ambayo ninasikia ikienea miongoni mwa watu wa Bwana.