Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Obed: 1. Son of Boaz and grandfather of David

9 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu 1. Son of Boaz and grandfather of David

  1. Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

  2. Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: Peresi alimzaa Hesroni,

  3. Hesroni akamzaa Ramu, Ramu akamzaa Aminadabu,

  4. Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni,

  5. Salmoni akamzaa Boazi, Boazi akamzaa Obedi,

  6. Obedi akamzaa Yese, na Yese akamzaa Daudi.

  7. Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese.

  8. Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, Obedi akamzaa Yese,

  9. Daudi alikuwa mwana wa Yese, Yese alikuwa mwana wa Obedi, Obedi alikuwa mwana wa Boazi, Boazi alikuwa mwana wa Salmoni, Salmoni alikuwa mwana wa Nashoni,