Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mount of Olives: Jesus repairs to

6 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Jesus repairs to

  1. Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia faraghani, wakamuuliza, “Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo dalili ya kuja kwako na ya mwisho wa dunia ni gani?”

  2. Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.

  3. Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni mkabala na Hekalu, Petro, Yakobo, Yohana na Andrea wakamuuliza faraghani,

  4. Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.

  5. Kila siku Yesu alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha.

  6. Yesu akatoka, akaenda kwenye Mlima wa Mizeituni kama ilivyokuwa kawaida yake, nao wanafunzi wake wakamfuata.