Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Months: The Jews computed time by

3 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu The Jews computed time by

  1. Naye akamwambia baba yake, “Naomba nifanyiwe jambo hili. Nipewe miezi miwili ili kuzunguka vilimani nikaulilie ubikira wangu, mimi na wenzangu.”

  2. Sanduku la Bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba,

  3. Pia Solomoni alikuwa na watawala kumi na wawili wa wilaya katika Israeli yote, walioleta mahitaji kwa mfalme na kwa watu wa nyumbani kwa mfalme. Kila mmoja alitoa chakula kwa mwezi mmoja katika mwaka.