Netophah
Anajulikana pia kama: Netophathite
31.7300, 35.2200 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Netophah
Salmoni, Mwahohi; Maharai, Mnetofathi;
Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;
Maharai Mnetofathi, Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi,
Jemadari wa kumi kwa mwezi wa kumi alikuwa Maharai Mnetofathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.
watu wa Netofa 56
watu wa Bethlehemu na Netofa 188