Skip to content

Heleb

3 mistari · 1 mwanafamilia

Anajulikana pia kama: Heled, Heldai

Mistari inayomtaja Heleb

  1. Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi; Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini;

  2. Maharai Mnetofathi, Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi,

  3. Jemadari wa kumi na mbili kwa mwezi wa kumi na mbili alikuwa Heldai Mnetofathi kutoka jamaa ya Othnieli. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.