Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Month: Ancient use of

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Ancient use of

  1. Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili mwaka wa 600 wa kuishi kwake Noa, siku hiyo ndipo chemchemi zote hata zilizo chini sana ya ardhi zilibubujika kwa nguvu, na malango ya mafuriko ya mbinguni yakafunguliwa.

  2. katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati.