Skip to content

Sibbechai

5 mistari

Anajulikana pia kama: Sibbecai, Mebunnai

Mistari inayomtaja Sibbechai

  1. Baada ya muda, kukawa na vita nyingine na Wafilisti, huko Gobu. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Safu, mmoja wa wazao wa Warefai.

  2. Abiezeri kutoka Anathothi; Mebunai, Mhushathi;

  3. Sibekai Mhushathi, Ilai Mwahohi,

  4. Baada ya muda, kulitokea vita dhidi ya Wafilisti, huko Gezeri. Wakati huo Sibekai, Mhushathi, akamuua Sipai, aliyekuwa mmoja wa wazao wa Warefai, nao Wafilisti wakashindwa.

  5. Jemadari wa nane kwa mwezi wa nane, alikuwa Sibekai Mhushathi wa Wazera. Kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.