Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mishael: 2. A Jew who stood by Ezra when he read the law to the people

1 mstari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 2. A Jew who stood by Ezra when he read the law to the people

  1. Mwandishi Ezra alikuwa amesimama juu ya jukwaa la miti lililojengwa kwa kusudi hilo. Karibu naye upande wa kuume alisimama Matithia, Shema, Anaya, Uria, Hilkia na Maaseya. Upande wake wa kushoto walikuwepo Pedaya, Mishaeli, Malkiya, Hashumu, Hashbadani, Zekaria na Meshulamu.