Mistari ya Biblia kuhusu Micah: 3. Called Micha, son of Mephibosheth
Mistari kuhusu 3. Called Micha, son of Mephibosheth
Mefiboshethi alikuwa na mwanawe mdogo aliyeitwa Mika, nao watu wote wa nyumba ya Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.
Yonathani akamzaa: Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika.
Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea na Ahazi.
Yonathani akamzaa Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika.
Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.