Mistari ya Biblia kuhusu Mesha: 1. King of Moab. Tributary to Ahad
Mistari kuhusu 1. King of Moab. Tributary to Ahad
Basi Mesha mfalme wa Moabu akafuga kondoo, naye akawa ampatie mfalme wa Israeli wana-kondoo 100,000 pamoja na sufu ya kondoo dume 100,000.
Lakini baada ya Ahabu kufa, mfalme wa Moabu aliasi dhidi ya mfalme wa Israeli.