Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Measures: Furlong

2 mistari · 26 vipengele

Tafuta "Measures"

Mistari kuhusu Furlong

  1. Ikawa siku iyo hiyo, wanafunzi wawili wa Yesu walikuwa njiani wakienda kijiji kilichoitwa Emau, yapata maili saba kutoka Yerusalemu.

  2. Hata hivyo, Yesu alikuwa anazungumzia kuwa Lazaro amekufa, lakini wanafunzi wake hawakuelewa, walidhani kwamba anasema Lazaro amelala usingizi tu.