Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Measures: Bath or ephah

2 mistari · 26 vipengele

Tafuta "Measures"

Mistari kuhusu Bath or ephah

  1. Shamba la mizabibu la eka kumi litatoa bathi moja ya divai, na homeri ya mbegu zilizopandwa itatoa efa moja tu ya nafaka.”

  2. Efa na bathi viwe sawa, bathi iwe sehemu ya kumi ya homeri na efa iwe sehemu ya kumi ya homeri, homeri itakuwa ndicho kiwango cha kukubalika kwa vyote viwili.