Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Masters: Not to keep back their wages

2 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Not to keep back their wages

  1. “ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.

  2. Mlipe ujira wake kila siku kabla ya jua kutua, kwa sababu yeye ni maskini na anautegemea ujira huo. La sivyo, anaweza kumlilia Bwana dhidi yako, nawe ukapata hatia ya dhambi.