Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Masters: Centurion

2 mistari · 26 vipengele

Mistari kuhusu Centurion

  1. Mtumishi wa jemadari mmoja wa Kirumi, ambaye bwana wake alimthamini sana, alikuwa mgonjwa sana karibu kufa.

  2. Jemadari huyo aliposikia habari za Yesu, aliwatuma wazee wa Kiyahudi kwake, wakamwomba aje kumponya mtumishi wa huyo jemadari.