Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Luke

6 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kwa kuwa watu wengi wamekaa ili kuandika habari za mambo yaliyotukia katikati yetu,

  2. kama vile yalivyokabidhiwa kwetu na wale waliokuwa mashahidi walioyaona na watumishi wa Bwana,

  3. mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo,

  4. ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa.

  5. Katika kitabu changu cha kwanza nilikuandikia, mpendwa Theofilo, kuhusu mambo yote Yesu aliyofanya na kufundisha tangu mwanzo,

  6. hadi siku ile alipochukuliwa kwenda mbinguni, baada ya kuwapa maagizo kupitia kwa Roho Mtakatifu wale mitume aliowachagua.