Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Land: Original title to, from God

4 mistari · 14 vipengele

Mistari kuhusu Original title to, from God

  1. Baada ya Loti kuondoka Bwana akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.

  2. Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.

  3. Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.

  4. Ondoka, tembea katika marefu na mapana ya nchi, kwa maana ninakupa wewe.”