Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jewels: Regarded by Jacob as obnoxious to holiness

7 mistari · 7 vipengele

Mistari kuhusu Regarded by Jacob as obnoxious to holiness

  1. Watu waliposikia habari hizo za huzuni, wakaanza kuomboleza wala hakuna mtu aliyevaa mapambo yoyote.

  2. Kwa kuwa Bwana alikuwa amemwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘Ninyi ni watu wenye shingo ngumu. Kama ningefuatana nanyi hata kwa muda mfupi, ningewaangamiza. Sasa vueni mapambo yenu, nami nitaamua nitakalowatendea.’ ”

  3. Hivyo Waisraeli wakavua mapambo yao katika Mlima wa Horebu.

  4. Katika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,

  5. vipuli, vikuku, shela,

  6. vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,

  7. pete zenye muhuri, pete za puani,