Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Idolatry: Irrational

3 mistari · 205 vipengele

Mistari kuhusu Irrational

  1. Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza.

  2. Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga

  3. na kubadili utukufu wa Mungu aishiye milele kwa sanamu zilizofanywa zifanane na mwanadamu ambaye hufa, na mfano wa ndege, wanyama na viumbe vitambaavyo.