Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Good Works: The Scripture designed to lead us to

3 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu The Scripture designed to lead us to

  1. Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,

  2. ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.

  3. Lakini yeye anayeangalia kwa bidii katika sheria kamilifu, ile iletayo uhuru, naye akaendelea kufanya hivyo bila kusahau alichosikia, bali akalitenda, atabarikiwa katika kile anachofanya.