Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Good Works: Shall be brought into the judgment

2 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Shall be brought into the judgment

  1. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au baya.

  2. Kwa kuwa sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja apate kulipwa kwa ajili ya yale ambayo yametendwa katika mwili wake, yakiwa mema au mabaya.