Mistari ya Biblia kuhusu Good Works: Should be fruitful in
Mistari kuhusu Should be fruitful in
Nasi tunaomba haya ili mpate kuishi maisha yanayostahili mbele za Bwana, na mpate kumpendeza kwa kila namna: mkizaa matunda kwa kila kazi njema, mkikua katika kumjua Mungu,