Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Drunkenness

52 mistari · 31 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,

  2. husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi Ufalme wa Mungu.