Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Drunkenness: Punishment of

3 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Punishment of

  1. kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.

  2. Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.

  3. Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.