Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Christ is God: As one with the Father

4 mistari · 55 vipengele

Mistari kuhusu As one with the Father

  1. Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.”

  2. Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.”

  3. Yesu akamjibu, “Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuonyeshe Baba’?

  4. Je, huamini ya kuwa mimi niko ndani ya Baba, naye Baba yuko ndani yangu? Maneno ninayowaambia siyasemi kwa ajili yangu mwenyewe, bali Baba akaaye ndani yangu ndiye atendaye hizi kazi.