Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Christ is God: As the Eternal God and Creator

7 mistari · 55 vipengele

Mistari kuhusu As the Eternal God and Creator

  1. Ndipo niliposema: “Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu; miaka yako inaendelea vizazi vyote.

  2. Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

  3. Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa.

  4. Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.

  5. Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

  6. Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.

  7. Utazikungʼutakungʼuta kama joho, nazo zitachakaa kama vazi. Lakini wewe hubadiliki, nayo miaka yako haikomi kamwe.”