Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Babes: A symbol of the children of the kingdom of heaven

5 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu A symbol of the children of the kingdom of heaven

  1. Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao.

  2. Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.

  3. Kwa hiyo mtu yeyote anyenyekeaye kama huyu mtoto, ndiye aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.

  4. “Yeyote amkaribishaye mtoto mdogo kama huyu kwa Jina langu, anikaribisha mimi.

  5. Lakini kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa hawa wadogo wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa katika kilindi cha bahari.