Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Azubah: 2. Wife of Caleb

2 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 2. Wife of Caleb

  1. Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.

  2. Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.