Skip to content

Zacharias

9 mistari · 2 wanafamilia

Mistari inayomtaja Zacharias

  1. Wakati wa Herode mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja jina lake Zekaria, ambaye alikuwa wa ukoo wa kikuhani wa Abiya. Elizabeti mkewe alikuwa pia mzao wa Aroni.

  2. Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu.

  3. Lakini malaika akamwambia, “Usiogope, Zekaria, kwa maana Mungu amesikia maombi yako. Mkeo Elizabeti atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yohana.

  4. Zekaria akamuuliza malaika, “Jambo hilo linawezekanaje? Mimi ni mzee na mke wangu pia ana umri mkubwa.”

  5. Wakati huo watu walikuwa wanamngojea Zekaria nje huku wakishangaa kukawia kwake mle Hekaluni.

  6. Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti.

  7. Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake.

  8. Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema:

  9. nao Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, neno la Mungu likamjia Yohana, mwana wa Zekaria huko jangwani.